Twitter yapata ushindani mpya, baada ya Instagram kuleta Threads, TikTok nayo yaja na "machapisho za maandishi pekee" (text-only posts)
TikTok imetangaza kuanzishwa kwa machapisho ya maandishi pekee ikiwa ni jaribio la kuwavutia watu wanaoweza kutafuta mbadala wa Twitter .
TikTok ilitangaza hivi karibuni kwamba sasa itawaruhusu watumiaji kutengeneza "maudhui yanayotegemea maandishi", katika hatua inayojulikana kama "kupanua mipaka ya uundaji wa maudhui kwa kila mtu kwenye TikTok".
Tovuti …