#TwitterSpace Mgeni rasmi: Mh. @Nnauye_Nape; Mada: changamoto na fursa sekta ya mawasiliano; Muda: leo saa 1 usiku TZ time; Mwandaaji: Nadj Media Centre (@najiniusnaj77), nami @chahali ni mratibu
Mnakaribishwa kwenye TwitterSpace hii itakayofanyika leo. Mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Nnauye.
Space hii inaletwa kwenye na Naj Media Centre na itakuwa hewani kila wiki ambapo wageni mbalimbali kutoka kada anuwai wataalikwa. Mtumishi wako nitashiriki kama mratibu wa mjadala.
Muda ni saa 1 usiku kwa…