Uchambuzi Kuhusu Mashinji Kuhama Chadema Na Kujiunga na CCM
Kuna Tatizo Ndani Ya Chadema Lakini Kama Ilivyo Dhambi Kuikosoa CCM Ndivyo Ilivyo Pia Kwa Chadema
Kwamba Mashinji angehama wala halikuwa jambo la “if” (endapo) bali “when” (lini). Na hatimaye jana mwanasiasa huyo aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama kikuu cha upinzani, Chadema, alitangaza kuhama rasmi chama hicho na kujiunga na CCM.
Na kama ilivyo kawaida, wafuasi wa Chadema, wakarejea kauli yao maarufu kila mmoja wao anapowakimbia, kudai “Mashinji alikuwa…