Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Rais Samia kumteua Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa, Selemani Mombo na kuchukua nafasi ya Balozi Ali Siwa
Jana Alhamisi ya Julai 11, Rais Samia alifanya mabadiliko ya TANO kwenye uongozi wa juu wa Idara ya Usalama wa Taifa, kwa kumteua na kumwapisha Ndugu Selemani Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa taasisi hiyo nyeti.
Japo Watanzania wengi walipokea taarifa hiyo kwa mshangao, duru za kiintelijensia zilishaonyesha kuwa mabadiliko hayo yalikuwa sio suala la kama yangetokea bali lini yangetokea (not if but when)
TANGAZO
Kwa walio nje ya Tanzania, kitabu kinapatikana HAPA
Uchambuzi huu wa kiintelijensia unakufahamisha kila kitu unachohitaji kufahamu kuhusu tukio hilo zito.