Jana Rais Samia Suluhu alitangaza mabadiliko kadhaa kwenye kabineti yake. Taarifa rasmi ni hii
Baadaye kukatangazwa mabadiliko madogo
Uchambuzi huu wa kiintelijensia unaeleza kwanini mabadiliko hayo yamefanyika sambamba na kutoa tafsiri kuhusu baadhi ya walioguswa/walioteuliwa au kuhamishwa vituo.