Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu Jenerali Mabeyo: anastaafu au 'ameondolewa kidiplomasia'? Nani kumrithi? 'Mazuri' na 'mabaya' yake
Nini kimetokea? Leo Jumatatu Juni 6, 2022 imetangazwa kuwa Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo anastaafu mwishoni mwa mwezi huu.
Jenerali Mabeyo ni nani hasa? Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa Februari 6, 2017 na aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Mu…