Uenyekiti Chadema: Japo Mbowe hajatangaza nia, je kuna tofauti gani kati yake na Lissu, na nani anafaa zaidi?
Juzi, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu alitangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho inayoshikiliwa na Mheshimiwa Freeman Mbowe.
Japo Mheshimiwa Mbowe hajatangaza endapo atawania nafasi hiyo, na hivyo kuchuana na Lissu, au la, makala hii inawalinganisha wanasiasa hao wakongwe wa siasa za upinzani nchini Tanzania.
Makala hii inaangalia vipengele vifuatavyo
Uzoefu wa kila mmoja wao
Nafasi za uongozi ambazo kila mmoja wao ameshika/anashika.
Mikakati ya kisiasa ya kila mmoja wao.
Changamoto ambazo kila mmoja amekutana nazo.
Mafanikio ya kisiasa ya kila mmoja.
Mtazamo wa kisiasa wa kila mmoja.
Uwezo wa kuongoza kwa kila mmoja.
Changamoto za sasa kwa kila mmoja.
Nani anafaa zaidi.