Ugaidi ni Nini? Na Magaidi ni Watu Gani Hasa? Sehemu ya Kwanza: Ugumu wa Kupata Maana Inayokubalika ya Neno "Ugaidi/Gaidi"
Karibu katika mfululizo mpya wa makala kuhusu ugaidi.
Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.