Ugaidi ni Nini? Na Magaidi ni Watu Gani Hasa? Sehemu ya Saba: orodha ya makundi ya kigaidi duniani
Karibu katika mfululizo wa makala kuhusu ugaidi zilizosimama kwa wiki kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya Krismasi na Mwaka Mpya
Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.
Kadhalika, hivi karibuni mwandishi alihitimisha mfululizo mwingine wa makala kuhusu "UJASUSI (espionage) ni Nini? Na MAJASUSI (spies) Wanafanya Kazi Gani Hasa?" ambao umepelekea kuchapishwa kitabu chenye jina hilohilo
Kwa walio nje ya Tanzania, kitabu kinapatikana duniani kote kupitia AMAZON
Kabla ya kuingia kwenye sehemu hii ya saba ya mfululizo wa makala hizi kuhusu ugaidi, inashauriwa kusoma sehemu sita zilizopita