Ugaidi ni Nini? Na Magaidi ni Watu Gani Hasa? Sehemu ya Tisa: Upande mwingine wa historia ya al-Qaeda - kuchipuka kutoka Maktab al-Khidamat
Karibu katika mfululizo wa makala kuhusu ugaidi.
Hamasa ya kuandika makala hizi imetokana na mafanikio makubwa ya kitabu cha “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” ambacho kilitokana na mfululizo wa makala kama huu.
Kadhalika, hivi karibuni mwandishi alihitimisha mfululizo mwingine wa makala kuhusu "UJASUSI (espionage) ni Nini? Na MAJASUSI (spies) Wanafanya Kazi Gani Hasa?" ambao umepelekea kuchapishwa kitabu chenye jina hilohilo
Kabla ya kuingia kwenye sehemu hii ya tisa ya mfululizo wa makala hizi kuhusu ugaidi, inashauriwa kusoma sehemu nane zilizopita