UJASUSI (espionage) ni nini? Na MAJASUSI (spies) wanafanya kazi gani hasa? [Sehemu ya Kumi na Moja: majasusi kazini]
Hii ni makala ya kumi na moja katika mlolongo mrefu wa makala mbalimbali zinazohusu taaluma ya intelijensia. Huenda baadhi ya makala hizi zikazaa vitabu huko mbeleni kama ambavyo makala kuhusu “Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani? Na Anafanya Nini?” zilivyopelekea kitabu bora kabisa chenye jina hilo.
Makala/Sehemu ya kwanza ilihusu maana ya neno UJASUSI. Ni vema ukasoma sehemu ya kwanza na ya pili kabla ya kusoma sehemu ya tatu.
Makala ya pili ilihusu historia ya ujasusi
Makala ya tatu ilihusu aina za ujasusi
Makala ya nne ilimalizia kilichosalia katika sehemu ya tatu kuhusu aina za ujasusi.
Makala ya tano ilihusu ujasusi kama nyenzo ya kidiplomasia
Makala ya sita ilihusu ujasusi wa kidiplomasia
Makala ya saba ilihusu kifuniko (cover) cha jasusi
Makala ya nane ilihusu tofauti kati ya ujasusi na uafisa usalama wa taifa
Makala ya tisa ilihusu jinsi majasusi wanavyopatikana
Makala ya kumi ilihusu jinsi jasusi anavyopata watoa habari nje ya nchi na kujipenyeza eneo kusudiwa.
Hata hivyo, kabla ya kuingia kwa undani, ni vema kujikumbusha kuwa mpangilio wa mada zinazounda mfululizo wa makala hizi, ambao ni kama ifuatavyo:
👉Maana ya ujasusi
👉 Historia ya Ujasusi
👉 Aina za Ujasusi
👉 Ujasusi wa kimtandao
👉Ujasusi kama nyenzo ya diplomasia
👉Ujasusi wa kidiplomasia
👉Kifuniko (cover) cha Jasusi
👉 Tofauti kati ya Ujasusi na Uafisa Usalama wa Taifa
👉 Majasusi wanapatikanaje?
👉Jinsi jasusi anavyopata watoa habari nje ya nchi na kujipenyeza eneo kusudiwa.
👉 Majasusi kazini
👉 Changamoto zinazoukabili ujasusi/majasusi duniani
👉 Changamoto za ujasusi/majasusi Tanzania
👉 Mashirika maarufu ya ujasusi duniani na majasusi maarufu duniani.