Ukishangaa Ya Nassari Unakutana na ya Lipumba
Wakati Mwingine Mchawi Wa Upinzani Ni Wapinzani Wenyewe
Nianze barua hii na shukrani nyingi kwa “wageni” zaidi ya 200 mliojisajili ili kutumiwa #BaruaYaChahali Jumatatu kama ya leo kila wiki. Lengo la barua hii ni kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha. Karibuni sana.
Pili, naomba samahani kwa kuchelewa kukutumia barua hii kwa sababu nilitaka kuiandika baada ya kusikia hukumu ya kesi baina ya Lipumba na Maali…