Update Kuhusu Bwana Nyaulingo
Kwa mujibu wa taarifa nilizotumiwa muda mfupi uliopita ni kwamba “mapenzi ya Bwana yametimia.” Still not confirmed, though!
Mie mtumishi wako “nina maslahi binafsi”katika suala hili. Naomba mwenye taarifa za uhakika, awasiliane nami kwa KUBONYEZA HAPA (mawasiliano yetu yatabaki kuwa faragha)
Ndimi mtumishi wako,
Evarist Chahali