Baada ya Bashite kumtengua kiongozi wa kitaifa serikalini, amgeukia bosi wake kwenye chama, 'amvua nguo hadharani' kupitia mamluki wa mtandaoni
Juzi, kijarida hiki kilichapisha taarifa exclusive kuhusu Bashite kumtengua kiongozi wa kitaifa huko serikalini ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuwania nafasi inayoshikiliwa na kiongozi huyo wa kitaifa.
Soma taarifa husika hapa
Baada ya “kufanikiwa” katika hilo, sasa Bashite amegeukia ndani ya chama chake na mhanga wake zamu hii sio tu ni kiongozi wa kitaifa wa CCM bali pia kiwadhifa ni bosi wa Bashite…