Usisubiri utekwe ndio ukumbuke kwamba Jasusi aliandika kitabu kuhusu mbinu mbalimbali pindi ukibaini maisha yapo hatarini/ukitishiwa maisha yako.
Februari 25 mwaka 2018 siku ambapo mmoja wa marahamia hatari kutokea katika historia ya Tanzania, Cyprian Musiba aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kutangaza orodha ya watu aliowaita “WATU HATARI” kwa usalama wa taifa la Tanzania. Miongoni mwa watu hao ni Jasusi.
Jahili huyo alidai kwamba watu hao walikuwa wakifanya kazi na FBI na Idara ya Usala…