Uwezekano wa Rais Samia kufumua tena baraza lake la mawaziri, ni kutokana na "mifumo kutosomana", changamoto za uhaba wa dola, sukari na mgao wa umeme.
Wakati Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya kiuchumi kutokana na uhaba wa sukari na dola za kimarekani, ilhali “mgao wa milele wa umeme” ukiendelea bila dalili ya kupatikana ufumbuzi, kuna uwezekano wa Rais Samia Suluhu kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Majuzi, wakati mamilioni ya watu duniani wakisherehekea “siku ya wapendanao,” …