Wadau hao wanahitaji msaada wako
Samahani kwa kuwasumbua lakini naomba ruhusa ya kuwasilisha kilio cha wadau hawa wawili wanaotafuta ajira.
Naamini miongoni mwenu kuna wasamaria wema wenye uwezo wa kuwasaidia wadau hawa. Na kama unaweza kumsaidia yeyote au wote, wasiliana nami KWA KUBONYEZA HAPA
Mungu awabariki sana
Ndimi mtumishi wenu,
Evarist Chahali