Wadau Hawa Wanahitaji Msaada Wako
Niliwaomba Majuzi Kuwasumbua Kuhusu Maombi Ya Wadau Mablimbali Wanaohitaji Msaada Wenu
Majuzi niliwaomba ruhusa ya kuwasumbua kwa kuwaletea maombi ya wadau mbalimbali wenye mahitaji mbalimbali. Naamini katika mkusanyiko huu wa zaidi ya watu 2,000 kuna lundo la wasamaria wema wanaoweza kuwasaidia wenzetu wenye mahitaji mbalimbali.
Utaratibu ni kwamba nitaweka screenshot za maelezo yao wenyewe ili nisiongeze au kupunguza kitu japo kuna waka…