Watanzania 6 watajwa kwenye orodha ya magaidi 43 wa ISIS nchini Msumbiji, yumo Abu Yasir Hassan anayetajwa kuwa mmoja wa viongozi wa kundi hilo
Msumbiji: Watanzania sita wameingizwa kwenye orodha ya magaidi wa kundi la ISIS tawi la Msumbiji. Miongoni mwa Watanzania hao ni Abu Yasiri Hassan anayetajwa kuwa mmoja wa viongozi wa kundi hilo la kigaidi.