Watanzania wawili wakamatwa Kenya wakielekea Somalia kujiunga na al-Shabaab, wengine watatu walikamatwa wiki 3 zilizopita
KENYA: Maafisa wa Kikosi cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi (ATPU) kwa sasa wanawashilikia raia wawili wa Tanzania waliopatikana nchini humo wakielekea Somalia kujiunga na kundi la kigaidi la Al-Shabaab.