WhatsApp imetangaza kipengele cha kuhariri ambacho hukuruhusu kubadilisha ujumbe ndani ya dakika 15 baada ya kuutuma.
Hadi sasa, njia pekee ya kubadilisha ujumbe wa WhatsApp ilikuwa kwa kuufuta haraka na kisha kuuandika upya kabla hujautuma
WhatsApp ilisema kipengele kipya cha kuhariri kimeanza kusambazwa duniani kote na k…