Wikiendi ya mwisho kwa mwaka 2019: Ningependa kusikia maoni yako
Leo ni Jumamosi/wikiendi ya mwisho kwa mwaka huu 2019. Pengine ni wakati kama wakati mwingine, lakini moja ya mbinu muhimu katika maisha ni kuuangalia kila wakati kama muujiza flani ambao kamwe hautojirudia. Naam, kamwe hakutokuwa na tarehe 28.12.2019. Never. Ever!
Moja ya mambo nayojivunia kuyafanya mwaka huu ni pamoja na kuendeleza jukumu nililoanza z…