Zimbabwe: Rais Mnangagwa amteua Dkt Fulton Mangwanya kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi hiyo (CIO)
HARARE – Rais Emmerson Mnangagwa amemteua Dkt. Fulton Mangwanya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ya nchi hiyo inayofahamika kama CIO.